Ujumbe mathubutu kwenye vitenge maalum walivyotengenezwa kwa ajili ya sherehe hizi za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama zilivyonaswa leo na Mpiga…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Maandalizi ya Kusheherekea Miaka 50 ya Muungano
Pichani juu, Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni zikiwa zimepambwa kwa bendera ya Tanzania, sambamba na maeneo mengine ya Jiji la Dar. Wakati mabilioni…
Continue Reading....Bustani ya Kupumzikia Yageuzwa Makazi!
Pichani, ni eneo la Umoja Wa Vijana, Mtaa wa Kipande karibu na Exim Bank, inaonekana nguo zikiwa zimeanikwa kwenye Bustani hiyo au kwa ung’eng’e Park.…
Continue Reading....Wakazi wa Jangwani Waanza Kurejea Kwenye Makazi Yao Licha ya Maafa Yaliyowakuta!
Kama picha zilivyonaswa na thehabari hapo juu, inaonekana wakazi wa Jangwani wakirejesha makazi yao licha ya maafa makubwa yaliyowakuta kutokana na mvua kubwa zilizolikumba jiji…
Continue Reading....Mgonjwa wa Akili Aamua Kujenga Makazi Yake Nje ya Hospitali ya Magomeni!
Tatizo sio tu kwamba Mgonjwa huyo ameamua kujenga nyumba yake nje ya hospitali na Mamlaka husika kumuacha apete, bali pia nyumba yenyewe kama inavyoonekana kwenye…
Continue Reading....Mafuriko Ya Dar Yaleta Neema Kwa Baadhi ya Wakazi Wake!
Thehabari leo ilivinjari maeneo ya Mto Mzinga, eneo la kwa Mpalange, Manispaa ya Temeke, na kushuhudia biashara ya kuvusha watu ikiendelea kutoka upande mmoja wa…
Continue Reading....