Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 57

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

SUMAYE APATA KIKOMBE!

Posted on: March 19, 2011March 19, 2011 - Rungwe Jr.
SUMAYE APATA KIKOMBE!

  *Aliambatana na mkewe, mama mzazi kwenda kwa Babu *Ataka Mchungaji asaidiwe, Jenerali Msuguri naye abugia *Wazungu waminika, wajanja waanza kuiba teknolojia yake *Daktari asema…

Continue Reading....

WATANZANIA TUTATOKA VIPI NDANI YA CHUPA?

Posted on: March 15, 2011April 16, 2014 - Rungwe Jr.
WATANZANIA TUTATOKA VIPI NDANI YA CHUPA?

Karibuni sana ndugu zangu katika ukurasa huu wa Uchambuzi Nyeti! Kama tujuavyo “Msema Pweke Hakosi”, labda tu kwa faida ya wasomaji wetu,   ni wakati muafaka…

Continue Reading....

VOICE FOR DEMOCRACY AND HUMAN RIGHTS CENTRE KUKUSANYA MAONI YA KATIBA MPYA TANZANIA.

Posted on: March 11, 2011 - Rungwe Jr.
VOICE FOR DEMOCRACY AND HUMAN RIGHTS CENTRE KUKUSANYA MAONI YA KATIBA MPYA TANZANIA.

Rais wa Taasisi ya Voice For Democracy And Human Rights Centre nchini Bw. Hashim Rungwe akiongea na waandishi wa habari jijini leo kuhusu taasisi yake…

Continue Reading....

MH. KOMBA AMETUMWA BUNGENI AKALALE?

Posted on: March 8, 2011March 8, 2011 - Rungwe Jr.
MH. KOMBA AMETUMWA BUNGENI AKALALE?

Kwa mpango huu ndugu zangu tutafika? Baadhi ya waheshimiwa wetu wamekuwa ni watu wa kuhudhuria vikao tu, na mara nyingi huwa wanalala wakati vikao vya…

Continue Reading....

WAZIRI MKUU ASHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO MKOANI KAGERA LEO.

Posted on: March 4, 2011March 5, 2011 - Rungwe Jr.
WAZIRI MKUU ASHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO MKOANI KAGERA LEO.

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Zamzam kwenye Manispaa ya Bukoba akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera…

Continue Reading....

SIRI ZA ANAYEJIDAI KUMILIKI DOWANS

Posted on: February 24, 2011April 22, 2014 - Rungwe Jr.
SIRI ZA ANAYEJIDAI KUMILIKI DOWANS

-Ni Mzanzibari aliyetorokea Uarabuni -Ana mahekalu jirani na vigogo Zanzibar  -Kuna utata kuhusu deni la Bil.100/- na rehani ya mitambo  WAKATI Shirika la Umeme Tanzania…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari