Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 54

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

KIJANA ATUMIA FARASI KUEPUKA BEI KALI ZA MAFUTA MAREKANI!

Posted on: May 26, 2011May 26, 2011 - Rungwe Jr.
KIJANA ATUMIA FARASI KUEPUKA BEI KALI ZA MAFUTA MAREKANI!

  Na Rungwe Jr. California, CA Juma hili Kamera ya dev.kisakuzi.com ilikuwa maeneo ya Lompoc, California, na kubahatika  kukutana na kijana aliyefahamika kwa jina moja…

Continue Reading....

CHADEMA YATOA TAARIFA KUHUSU UCHAGUZI WA ‘BAVICHA’ TAIFA

Posted on: May 25, 2011 - Rungwe Jr.
CHADEMA YATOA TAARIFA KUHUSU UCHAGUZI WA ‘BAVICHA’ TAIFA

  Taarifa inatolewa kwa umma kuhusu orodha ya wagombea waliorudisha fomu na utaratibu wa uchaguzi wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) ngazi ya taifa…

Continue Reading....

TANZANIA YATESA MAREKANI!

Posted on: May 24, 2011May 24, 2011 - Rungwe Jr.
TANZANIA YATESA MAREKANI!

  Na Rungwe Jr. California, USA Mwisho wa Juma lililopita nilikuwa Santa Barbara, California, moja kati ya miji mizuri sio tu Marekani, bali duniani kwa ujumla. Baada…

Continue Reading....

KWA PICHA HII: WAZIRI MKUU WA INDIA NI MFUASI WA CHADEMA?

Posted on: May 23, 2011May 23, 2011 - Rungwe Jr.
KWA PICHA HII: WAZIRI MKUU WA INDIA NI MFUASI WA CHADEMA?

Mh Dr. Manmohan Singh, ambaye ni waziri mkuu wa India anatarajiwa kutua Bongo muda si mrefu (Tafadhali, rejea taarifa yetu ya awali)  kwa shughuli maalum.…

Continue Reading....

SHIBUDA AMWAGA CHECHE!!

Posted on: May 17, 2011 - Rungwe Jr.
SHIBUDA AMWAGA CHECHE!!

Na Mwandishi Wetu Mwanza   MBUNGE wa CHADEMA jimbo la Maswa Mashariki John Shibuda amesema CCM haikujivua gamba bali uzalendo baada ya kuuza nchi kwa…

Continue Reading....

Ishengoma ameremeta!

Posted on: May 16, 2011May 16, 2011 - Rungwe Jr.
Ishengoma ameremeta!

Edson Ishengoma na mkewe Jovina John wakipiga picha ya ukumbusho na mama mzazi wa bwana harusi, Geraldina Ishengoma (wa kwanza kulia) muda mfupi baada ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari