Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) wakipata maelekezo ya mwisho kutoka kwa kocha wao katika…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Happy Birthday Mzee Mandela!

Mzee Mandela leo tarehe 18/7/2011, ametimiza miaka 93 ya uhai wake! dev.kisakuzi.com inamtakia afya tele na maisha marefu zaidi mzee wetu huyu.
Continue Reading....Rais Kikwete aelekea Afrika ya Kusini kwa ziara ya kidola!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Julai 18, 2011, anaanza Ziara ya kihistoria ya Kidola (State Visit) katika…
Continue Reading....Wabunge nao watembelea maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini Dodoma!

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (CCM) akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu wa mradi wa Biofueli Bi. Ester…
Continue Reading....Mh. Pinda alivyotembelea maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Fundi Sanifu Bi Jemina Sadatale kutoka Mradi wa Umeme Jua wa KKKT Mpwapwa unaofadhiliwa na Wakala…
Continue Reading....‘Kujivua gamba’ kwa Rostam, CCM waonyesha usikivu!

Na Rungwe Jr. Ndugu zangu, Juma hili Mh. Rostam Aziz hatimaye ‘amejivua gamba’. Kama tulivyosikia na kusoma hotuba ya Mh. Aziz mwenyewe wakati anawaaga wana Igunga, haukuwa…
Continue Reading....