(Picha na Abdul Majid)
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Bongo Starz yaichapa Ivory Coast bao 4 kwa 1!
Na Mwandishi Wetu, Los Angeles, CA ILE siku ya Septemba 3, ambayo ilikuwa ikisubiriwa na wa-Afrika wengi hapa jijini Los Angeles iliwadia. Timu 24 za…
Continue Reading....Shibuda ajichimbia kaburi lake
Na Sophia Yamola GAZETI la Chama Cha Mapinduzi (CCM) lilipoandika wiki iliyopita kwamba Mbunge wa Maswa Mashariki, John Shibuda “amejilipua” lilijua linachokifanya. Ilikuwa baada…
Continue Reading....EID MUBARAK WADAU WOTE WA dev.kisakuzi.com!
UONGOZI mzima wa dev.kisakuzi.com na wafanyakazi unapenda kuwatakia Waislamu wote ulimwenguni na wadau wengine wa mtandao huu Siku Kuu njema ya Eid. “EID MUBARAK!”
Continue Reading....