Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 39

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

T-Moto kuwang’alisha mashabiki kwa pamba, waingia studio kukamilisha kitu!

Posted on: September 25, 2011September 26, 2011 - Rungwe Jr.
T-Moto kuwang’alisha mashabiki kwa pamba, waingia studio kukamilisha kitu!

KUNDI jipya la Taarab la Tanzania Modern Taarab (T-Moto) linalotarajia kuzinduliwa Oktoba 28 mwaka huu jijini Dar es Salaam, limezindua mavazi yake rasmi kwa ajili…

Continue Reading....

“Wanamichezo Maarufu Waliowai Kufilisika!

Posted on: September 22, 2011 - Rungwe Jr.
“Wanamichezo Maarufu Waliowai Kufilisika!

  For a while, no boxer on earth was as feared as “Iron Mike” Tyson. The powerful puncher won his first 19 professional fights by…

Continue Reading....

Idadi Ya Vifo Vya Mama na Mtoto Barani Afrika Imeanza Kupungua

Posted on: September 22, 2011 - Rungwe Jr.
Idadi Ya Vifo Vya Mama na Mtoto Barani Afrika Imeanza Kupungua

  Idadi ya vifo vya Mama na Mtoto barani Afrika imeanza kupungua kutokana na nchi nyingi kufanikiwa katika kupunguza ugonjwa wa malaria ambao nao umekuwa…

Continue Reading....

MUVI yang’ara Maonesho ya Wajasiriamali

Posted on: September 13, 2011September 13, 2011 - Rungwe Jr.
MUVI yang’ara Maonesho ya Wajasiriamali

Na Dunstan Mhilu MUUNGANISHO wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) umefanikiwa kufanya vizuri katika Maonesho ya wajasiriamali wadogo na wakati Kanda ya Kusini yaliyokuwa yakifanyika hivi karibuni…

Continue Reading....

Dk. Chami afungua maonesho ya wajasiriamali Mbinga

Posted on: September 11, 2011September 11, 2011 - Rungwe Jr.
Dk. Chami afungua maonesho ya wajasiriamali Mbinga

Na Dunstan Mhilu, Mbinga MAONESHO ya wajasiriamali wadogo na wakati Kanda ya Kusini yamefunguliwa rasimi na Waziri wa Viwanda na Biashhara Dk. Cyril Chami katika …

Continue Reading....

Kampeni Igunga: Rostam amtumia Mkapa

Posted on: September 10, 2011 - Rungwe Jr.
Kampeni Igunga: Rostam amtumia Mkapa

    Mwandishi wetu – Adaiwa kumwangukia ashirikishwe KAMPENI za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga zinazinduliwa mwishoni mwa wiki huku kukiwa na taarifa kwamba kuna…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari