Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bi. Kushilla Thomas akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete jezi iliyosainiwa na wachezaji wote wa timu ya FC…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Picha zaidi za Tamasha la Waafrika, Ujerumani!
Lile Tamasha kubwa la Waafrika lilofanyika mjini Tuebingen, Ujerumani lilifikia tamati jana siku ya Jumapili tarehe 11. Tamasha hilo lilianza tokea tahere 8 mwezi huu…
Continue Reading....Baadhi ya Majengo ya “Zamani” Jijini Dar yabomolewa!
Picha hii inaonyesha baadhi ya majengo Mtaa wa Samora yakibomolewa, ili kujenga mapya. Wenzetu nchi zilizoendelea wanayatunza na kuyaenzi majengo yao kama haya, kwani si…
Continue Reading....Ngoma Afrika Band yamwaga radhi tamasha la Waafrika Ujerumani!
Baadhi ya mashabiki wakiume wakiwa wamevamia jukwaa na kuburudika pamoja na Ngoma Afrika Band (Band ya Watanzania), ambayo ilikuwepo katika tamasha hilo kutumbuiza, ambapo ilikuwa…
Continue Reading....Tamasha la Waafrika Ujerumani lafana!
Picha zaidi za matumbuizo mbalimbali kutoka Bendi tofauti, ikiwemo Ngoma Africa Band kutoka Tanzania zitawajia punde.
Continue Reading....Kikwete Alia na majambazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho ameamuru majambazi na wahamiaji haramu wote katika mikoa mitatu nchini kujisalimisha katika muda wa siku…
Continue Reading....