Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 786

Author: jomushi

Taifa Stars Watua Johannesburg

Posted on: July 31, 2014 - jomushi
Taifa Stars Watua Johannesburg

Na Boniface Wambura, Johannesburg KIKOSI cha Taifa Stars kimewasili salama Julai 30 mwaka huu hapa Johannesburg kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kwenda…

Continue Reading....

WHC ni Mkombozi wa Watumishi wa Umma Tanzania

Posted on: July 31, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, WHC ni Mkombozi wa Watumishi wa Umma
WHC ni Mkombozi wa Watumishi wa Umma Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Dar KWA watumishi wa umma uanzishwaji wa Watumishi Housing Company (WHC) ambao ni mpango wa makazi kwa watumishi wa umma ni mkombozi…

Continue Reading....

Watoto Wadaiwa Kumnyonga Mwenzao na Mumning’iniza Mtini

Posted on: July 31, 2014July 31, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, watoto wamnyonga mwenzao
Watoto Wadaiwa Kumnyonga Mwenzao na Mumning’iniza Mtini

WAKAZI wa Kijiji cha Masusu, Kata ya Gisambalang wilayani Hanang’ katika Mkoa wa Manyara wamepatwa na mshtuko kutokana na tukio lenye utata la kuuawa mtoto…

Continue Reading....

Kijiji Chafunikwa na Udongo, Watu 20 Wafariki

Posted on: July 31, 2014 - jomushi
Post Tags: Kijiji Chafunikwa na Udongo
Kijiji Chafunikwa na Udongo, Watu 20 Wafariki

ZAIDI ya watu 200 wanahofiwa kukwama katika maporomoko ya udongo nchini India, huku 20 wakithibitika kufariki dunia katika Kijiji cha Malin karibu na Mji wa…

Continue Reading....

Liberia Yaomba Kusaidiwa Kukabiliana na Ebola

Posted on: July 31, 2014 - jomushi
Post Tags: Liberia Yaomba juu ya ebola
Liberia Yaomba Kusaidiwa Kukabiliana na Ebola

WAZIRI wa Habari nchini Liberia, Lewis Brown ameomba msaada nchi yake kusaidiwa kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola unaolikabili taifa hilo. Amesema Liberia…

Continue Reading....

Kikwete Nyota wa Demokrasia Afrika 2014, Apewa Tuzo

Posted on: July 31, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kikwete Nyota wa Demokrasia Afrika 2014
Kikwete Nyota wa Demokrasia Afrika 2014, Apewa Tuzo

Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari