Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 767

Author: jomushi

Zahanati ya Ebola Yaibiwa Liberia…!

Posted on: August 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Ebola Yaibiwa Liberia
Zahanati ya Ebola Yaibiwa Liberia…!

TAARIFA kutoka Liberia zinasema kuwa kituo kilichotengwa na kuwekewa karantini kwa sababu ya ebola, kimeshambuliwa na zana kuibiwa mjini Monrovia. Baadhi ya ripoti zinasema wagonjwa…

Continue Reading....

Gari Lililobeba Maiti Kumi Laua Wawili Mikese

Posted on: August 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Gari la maiti 10 laua wawili
Gari Lililobeba Maiti Kumi Laua Wawili Mikese

GARI la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), lililokuwa likisafirisha maiti 10  za watu kwenda katika Hospitali ya Mtakatifu Francis Ifakara, wilayani Kilombero, limewagonga watu…

Continue Reading....

Msichana wa Kitanzania Ashinda Insha ya SADC

Posted on: August 18, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Msichana wa Kitanzania Ashinda Insha ya SADC
Msichana wa Kitanzania Ashinda Insha ya SADC

* SADC yaishukuru Tanzania kwa Ukombozi MSICHANA Neema Steven Mtwanga, 16 ameibuka kinara katika Mashindano ya Utunzi wa Insha katika nchi wanachama wa Jumuia ya…

Continue Reading....

Zimbabwe Yamtuza Mtanzania, Ni Brigedia Jenerali Mbita

Posted on: August 18, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Zimbabwe Yamtuza Mtanzania
Zimbabwe Yamtuza Mtanzania, Ni Brigedia Jenerali Mbita

ZIMBABWE imemtunukia Mtanzania, Katibu Mtendaji wa zamani wa Kamati ya Ukombozi ya Afrika, Brigedia Jenerali Hashim Mbita, Tuzo ya juu kabisa ambayo hutolewa na Taifa…

Continue Reading....

Wasanii wa Kilimanjaro Music Tour Wamfariji Afande Sele

Posted on: August 17, 2014 - jomushi
Post Tags: Kilimanjaro Music Tour Wamfariji Afande Sele
Wasanii wa Kilimanjaro Music Tour Wamfariji Afande Sele

   Baadhi ya Wasanii waliokuwa kwenye onesho la Kilimanjaro Music Tour lililofanyika mkoani Dodoma jana, leo walipitia nyumbani kwa Mfalme wa Rhymes a.k.a Simba Mzee…

Continue Reading....

Serikali Kuwanoa Watendaji Halmashauri Usimamizi wa Fedha

Posted on: August 17, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Serikali Kuwanoa Watendaji Halmashauri
Serikali Kuwanoa Watendaji Halmashauri Usimamizi wa Fedha

Na Eleuteri Mangi – Maelezo SERIKALI itaendelea kutoa mafunzo kwa watendaji wa Halmashauri na Mikoa juu ya usimamizi wa fedha, manunuzi na takwimu katika masuala…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari