Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 766

Author: jomushi

FIFA Kuboresha Makao Makuu ya TFF

Posted on: August 18, 2014 - jomushi
Post Tags: FIFA Kuboresha Makao Makuu ya TFF
FIFA Kuboresha Makao Makuu ya TFF

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu duniani (FIFA) limeahidi kuboresha makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) yaliyoko kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya…

Continue Reading....

Watendaji BRN Watakiwa Kuwa Chachu ya Mabadiliko

Posted on: August 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Watendaji BRN Watakiwa Kuwa Chachu ya Mabadiliko
Watendaji BRN Watakiwa Kuwa Chachu ya Mabadiliko

Na Hassan Abbas WATENDAJI wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelzaji wa Miradi ya Kipaumbele (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) wametakiwa kuwa chachu…

Continue Reading....

Jaji Lewis Makame Afariki Dunia Jijini Dar

Posted on: August 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Jaji Lewis Makame Afariki Dunia Jijini Dar
Jaji Lewis Makame Afariki Dunia Jijini Dar

TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini (NEC), Jaji Lewis Makame amefariki dunia katika Hospitali ya Trauma…

Continue Reading....

Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Vijana Duniani; Serikali Kuwashirikisha Vijana Utekelezaji Sera

Posted on: August 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Serikali Kuwashirikisha Vijana Utekelezaji Sera
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Vijana Duniani; Serikali Kuwashirikisha Vijana Utekelezaji Sera

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kimataifa…

Continue Reading....

Vodacom, FSDT Kuwakutanisha Wafanyabiashara na Watoa Huduma Sekta ya Fedha

Posted on: August 18, 2014 - jomushi
Post Tags: FSDT yakutanisha wafanyabiashara, Vodacom
Vodacom, FSDT Kuwakutanisha Wafanyabiashara na Watoa Huduma Sekta ya Fedha

ZAIDI ya wafanyabiashara 100 wadogo na wa kati wanakutanishwa na watoa huduma sekta ya fedha kesho (Jumanne Agosti 19, 2014) jijini Dar es Salaam katika…

Continue Reading....

Waziri Gaudensia Kabaka Aipongeza TPB kwa Kuwakumbuka Wastaafu

Posted on: August 18, 2014 - jomushi
Post Tags: Waziri Kabaka aipongeza TPB kuwakumbuka wastaafu
Waziri Gaudensia Kabaka Aipongeza TPB kwa Kuwakumbuka Wastaafu

WAZIRI wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka ameipongeza Benki ya Posta Tanzania (TPB) kwa kuandaa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari