Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 76

Author: jomushi

RC Mtaka Amaliza Mgogoro wa Wanakijiji na Wawekezaji

Posted on: March 29, 2017 - jomushi
RC Mtaka Amaliza Mgogoro wa Wanakijiji na Wawekezaji

Na Mwandishi Wetu, Meatu MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka amefanikiwa kumaliza mgogoro wa muda mrefu kati ya mwekezaji katika Jumuiya ya Hifadhi ya…

Continue Reading....

DC Gondwe Asapoti Vijana Kwenye Uchumi Cup

Posted on: March 29, 2017 - jomushi
DC Gondwe Asapoti Vijana Kwenye Uchumi Cup

Sehemu ya vifaa vya michezo vilivyokabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe.

Continue Reading....

Rais JPM Aukubali Wimbo wa Nay wa Mitego, Basata Yaaibika

Posted on: March 27, 2017March 27, 2017 - jomushi
Post Tags: wasanii
Rais JPM Aukubali Wimbo wa Nay wa Mitego, Basata Yaaibika

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kuachiwa huru kwa Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu kama…

Continue Reading....

Rais Magufuli Apokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu Hesabu za Serikali

Posted on: March 27, 2017 - jomushi
Post Tags: RIPOTI YA CAG
Rais Magufuli Apokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu Hesabu za Serikali

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Machi, 2017 amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi…

Continue Reading....

NMB Yafadhili Mkutano wa Maofisa Waandamizi Dodoma

Posted on: March 27, 2017 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
NMB Yafadhili Mkutano wa Maofisa Waandamizi Dodoma

    BENKI ya NMB imekabidhi udhamini wa shilingi Milioni 50 kwa jeshi la polisi kwaajili ya kufanikisha mkutano mkuu wa jeshi la polisi unaoendelea…

Continue Reading....

Waziri Mwigulu Awataka Askari Polisi Kutobambikia Kesi Raia

Posted on: March 27, 2017 - jomushi
Post Tags: Jeshi la Polisi
Waziri Mwigulu Awataka Askari Polisi Kutobambikia Kesi Raia

Mzee John Samwel Malecela akizungumza wakati wa kikao cha kazi cha Mwaka 2017 cha Maafisa waandamizi wa Polisi na Makamanda wa Mikoa/Vikosi.  Maafisa waandamizi wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari