Baadhi ya mashabiki wakishhudia mchezo huo. SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kupitia mpango wake wa wakulima Scheme imedhamini mechi kati ya Klabu ya Simba…
Continue Reading....Author: jomushi
Warembo Miss Tanzania 2014 Waingia Kambini Dar
WANYANGE 30 wanao wanbia taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi…
Continue Reading....100 Washiriki Jukwaa la Katibu Mkuu EAC
Na Mtuwa Salira wa EANA, Arusha WAJUMBE zaidi ya 100 kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanahudhuria mkutano wa siku mbili wa…
Continue Reading....Wanahabari Mbeya Kutangaza Vivutio Malawi na Zambia
BAADHI ya Waandishi wa habari Mkoa wa Mbeya wanaotarajia kufanya ziara ya kimafunzo nchini Malawi na Zambia wameagwa rasmi na viongozi wa Serikali. Waandishi hao…
Continue Reading....TFF Kufunza Wadau Matumizi Tiketi za Elektroniki
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jumamosi ya Septemba 13 mwaka huu majira ya saa 4 asubuhi litaendesha mafunzo ya matumizi ya tiketi za…
Continue Reading....Dk Bilal Akutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC ya Japan
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC yenye makao yake makuu…
Continue Reading....