Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 734

Author: jomushi

Waziri Pinda Asuluhisha Mgogoro Kiwanda cha Chai Mponde

Posted on: September 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Mgogoro Kiwanda cha Chai Mponde, Waziri Pinda
Waziri Pinda Asuluhisha Mgogoro Kiwanda cha Chai Mponde

*Ataka iundwe timu ya watu wachache kusimamia kiwanda   WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amewataka Wakala wa Wakulima Wadogo wa Chai pamoja na Bodi…

Continue Reading....

Wanachama wa LAPF Kunufaika na Fao la Elimu, Bilioni 3 Kutumika Mwaka wa Masomo 2014/15

Posted on: September 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Fao la Elimu, LAPF, Mwaka 2014/2015
Wanachama wa LAPF Kunufaika na Fao la Elimu, Bilioni 3 Kutumika Mwaka wa Masomo 2014/15

WANACHAMA wa Mfuko wa Penseni wa LAPF kunufaika na fao jipya lilozinduliwa hivi karibuni nchini kwa Baraka zake Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu…

Continue Reading....

Magonjwa ya Moyo Bado Yachangia Vifo Vingi Tanzania

Posted on: September 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Magonjwa ya Moyo, Vifo Vingi Tanzania
Magonjwa ya Moyo Bado Yachangia Vifo Vingi Tanzania

KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania vilifikia idadi ya watu…

Continue Reading....

Breaking Newz; Mbowe Ashinda Tena Uenyekiti CHADEMA

Posted on: September 14, 2014September 15, 2014 - jomushi
Post Tags: Ashinda Uenyekiti, Chadema, Freeman Mbowe
Breaking Newz; Mbowe Ashinda Tena Uenyekiti CHADEMA

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefanikiwa kutetea nafasi yake tena ya kukiongoza chama hicho baada ya kushinda…

Continue Reading....

Serikali Kuhakiki Vyama vya Kijamii

Posted on: September 14, 2014 - jomushi
Serikali  Kuhakiki Vyama vya Kijamii

Frank Mvungi Serikali imedhamiria kuanza zoezi la kuhakiki vyama vya kijamii ili kuboresha huduma zinazotolewa na vyama hivyo hapa nchini tangu kuanzishwa kwake. Hayo ya…

Continue Reading....

Wabunge Wanawake Wasisitiza Usawa wa Kijinsia Katiba Mpya

Posted on: September 14, 2014September 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Wabunge wanawake
Wabunge Wanawake Wasisitiza Usawa wa Kijinsia Katiba Mpya

Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma. KATIKA JUHUDI za kuleta usawa wa kijinsia na kuinua hadhi ya wanawake, Serikali imefanya jitihada kubwa katika masuala ya kiuchumi, kisiasa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari