Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 72

Author: jomushi

Tanzanite One Kujenga Madarasa 7 Songambele…!

Posted on: April 5, 2017April 5, 2017 - jomushi
Tanzanite One Kujenga Madarasa 7 Songambele…!

Mkurugenzi mwenza wa Tanzanite One,Faisal Juma pamoja na viongozi wa serikali na wajumbe  wa kamati ya shule ya Songambele  akikagua madarasa ambayo hayatumiki  kutokana na nyufa…

Continue Reading....

Waziri Dk Mwakyembe Azindua Vitendea Kazi TaSUBA

Posted on: April 5, 2017 - jomushi
Waziri Dk Mwakyembe Azindua Vitendea Kazi TaSUBA

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA), Dkt. Herbet …

Continue Reading....

Watanzania Kufanya Miamala ya Kifedha Kupitia Halopesa na NMB

Posted on: April 3, 2017 - jomushi
Post Tags: Halotel
Watanzania Kufanya Miamala ya Kifedha Kupitia Halopesa na NMB

          KATIKA kufanikisha azma ya kupanua wigo wa huduma za kifedha kwa wananchi wenye vipato tofauti, kampuni ya mawasiliano ya Halotel na…

Continue Reading....

Shindano la Hoja juu ya Rais Bora Laja…!

Posted on: April 3, 2017 - jomushi
Shindano la Hoja juu ya Rais Bora Laja…!

Ndugu Wanahabari na Watanzania wenzangu; NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa fursa hii. Pia niwashukuru ninyi nyote mlioweza kufika hapa. Vilevile nawashukuru wote walioanza kuunga mkono…

Continue Reading....

Hii ni Mpya Kutoka TTCL…!

Posted on: April 2, 2017 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
Hii ni Mpya Kutoka TTCL…!

For More Details Click:- Welcome to Generation T. Solved

Continue Reading....

Tamasha la Muziki Karibu Latangaza Nafasi za Ushiriki kwa Wasanii

Posted on: April 2, 2017April 2, 2017 - jomushi
Post Tags: muziki
Tamasha la Muziki Karibu Latangaza Nafasi za Ushiriki kwa Wasanii

UONGOZI wa Tamasha la muziki la Karibu wakishirikiana na Legendary Music Entertainment wametangaza nafasi kwa wasanii wa muziki na vikundi mbalimbali vya muziki kuomba nafasi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari