Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 66

Author: jomushi

Rais Magufuli Aagiza TCU Kutowachagulia Vyuo Wanafunzi Elimu ya Juu

Posted on: April 15, 2017 - jomushi
Post Tags: UDSM
Rais Magufuli Aagiza TCU Kutowachagulia Vyuo Wanafunzi Elimu ya Juu

Na Lilian Lundo na Beatrice Lyimo RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kutowachagulia…

Continue Reading....

Askari Polisi Nane Waliouawa na Majambazi Kibiti Waagwa…!

Posted on: April 15, 2017 - jomushi
Askari Polisi Nane Waliouawa na Majambazi Kibiti Waagwa…!

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchini, Mwigulu Nchemba, akitoa pole kwa wafiwa.   Ndugu,jamaa na marafiki wa wafiwa wakiwa katika shughuli hiyo ya kuaga…

Continue Reading....

Taasisi ya Tree of Hope Yawakutanisha wadau na viongozi wa dini Tanga

Posted on: April 15, 2017 - jomushi
Taasisi ya Tree of Hope Yawakutanisha wadau na viongozi wa dini Tanga

JAMII imetakiwa kupiga vita vitendo vya ukatili wa kijinsia watoto na wazee ikiwa na pamoja na viongozi wa dini kuzitumia nafasi zao kukomesha ukatili huo.…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Mstaafu wa Israel Atembelea Hifadhi za Serengeti na Ngorongoro

Posted on: April 15, 2017 - jomushi
Post Tags: mbuga za wanyama
Waziri Mkuu Mstaafu wa Israel Atembelea Hifadhi za Serengeti na Ngorongoro

Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel,Ehud Barak (kushoto) akimueleza jambo Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani baada ya kukutana katika eneo…

Continue Reading....

Kampuni ya TTCL Yatoa Msaada wa Pasaka kwa Yatima

Posted on: April 15, 2017April 15, 2017 - jomushi
Post Tags: Msaada TTCL
Kampuni ya TTCL Yatoa Msaada wa Pasaka kwa Yatima

      KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa vyakula mbalimbali na vinywaji katika vituo vya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa ajili…

Continue Reading....

ASKOFU DK MALASUSA AONGOZA IBADA YA IJUMAA KUU KKKT

Posted on: April 14, 2017 - jomushi
ASKOFU DK MALASUSA AONGOZA IBADA YA IJUMAA KUU KKKT

 Igizo likiendelea.  Askofu mstaafu Dk. Alex Malasusa akisalimiana na waumini wa kanisa hilo baada ya ibada ya Ijumaa Kuu.  Muonekano wa waumini wakati wa ibada…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari