Bi Sarah Mungai akiwa na mmoja kati ya watoto yatima wa kituo cha DBL mkimbizi Iringa Bi sarah Mungai akiwa na Mtoto aliyetupwa na mama …
Continue Reading....Author: jomushi
Magolikipa Tanzania Wawachapa TASWA FC 3-0
Na Mpalule Shaaban KAMPUNI ya Twiga Cement ya jijini Dar es Salaam, jana imefanikiwa kuzindua rasmi Chama cha Wachezaji wa Nafasi ya Golikipa wanaoshiriki ligi…
Continue Reading....TTCL Wawapa Misaada Wagonjwa wa Saratani Ocean Road
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imetoa msaada wa vyakula na bidhaa mbalimbali kwa Hospitali ya Wagonjwa wa Kansa Ocean Road ya jijini Dar es…
Continue Reading....Wamachinga Wacharuka, Wavamia Ofisi za Jiji Dar
Na Mwandishi Wetu, WAFANYABIASHARA ndogondogo maarufu kama wa machinga leo jijini Dar es Salaam waliandamana hadi katika Ofisi za Jiji la Dar es Salaam zilizopo…
Continue Reading....Benki ya Posta Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara Mbeya
BENKI ya Posta Tanzania (TPB) Tawi la Mbeya, imetoa semina kwa Wajasiriamali wa mkoa ikiwa na lengo la kuwaongezea ujuzi kwenye biashara zao. Semina hiyo…
Continue Reading....Sakata la Escrow; Rais Kikwete Amfukuza Uwaziri Prof Tibaijuka
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemfukuza kazia Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kwa kukiuka sheria ya maadili…
Continue Reading....