Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 626

Author: jomushi

Familia Newala Zachangia Kuwalinda Wanyanyasaji

Posted on: December 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Familia, Newala, Wanyanyasaji
Familia Newala Zachangia Kuwalinda Wanyanyasaji

MKUU wa Polisi Wilaya ya Newala (OCD), Jeremiah Shila amesema baadhi ya wanafamilia wilayani hapo wamekuwa kikwazo kwa mapambano dhidi ya vitendo anuai vya kikatili…

Continue Reading....

Lindi Watakiwa Kutumia Rasilimali Kujiletea Maendeleo

Posted on: December 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Lindi, Rasilimali
Lindi Watakiwa Kutumia Rasilimali Kujiletea Maendeleo

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi WAKAZI wa mkoa wa Lindi wametakiwa kushikamana kwa pamoja, kufanya kazi kwa bidii na kuzitumia rasilimali zilizopo ili kujiletea maendeleo.…

Continue Reading....

Kitabu Kilichobadili Mtazamo wa Maisha ya Zitto Kabwe

Posted on: December 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Kitabu, Maisha, Zitto Kabwe
Kitabu Kilichobadili Mtazamo wa Maisha ya Zitto Kabwe

MWAKA 2014 nimesoma vitabu 53 na nimefanya uchambuzi wa vitabu 21 kupitia safu ya Kitabu na Kalamu ya gazeti la Raia Tanzania kila Jumatatu. Tangu…

Continue Reading....

Benki ya Posta Yawafunda Wafanyabiashara Tunduma

Posted on: December 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Benki ya Posta, Tunduma, Wafanyabiashara
Benki ya Posta Yawafunda Wafanyabiashara Tunduma

BENKI ya Posta Tanzania (TPB), Tawi la Tunduma imetoa mafunzo kwa wajasiriamali wa Tunduma, wilayani Momba. Semina hiyo iliyohudhuriwa na wajasiriamali wapatao 100, ililenga kuwaelimisha…

Continue Reading....

Tanzania Yasonga Afrika Mapambano Dhidi ya Ukatili kwa Watoto

Posted on: December 28, 2014 - jomushi
Post Tags: Afrika, tanzania, Ukatili kwa Watoto
Tanzania Yasonga Afrika Mapambano Dhidi ya Ukatili kwa Watoto

TUNAPOELEKEA kuuanza mwaka 2015, tumeshuhudia vyombo vya habari nchini vikiwa mstari wa mbele katika kubaini na kutangaza matukio ya ukatili na utelekezaji wa watoto unaofanywa…

Continue Reading....

Chef Issa Atwaa Zawadi Kombe la Dunia la Mapishi 2014

Posted on: December 26, 2014December 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Chef Issa Kipande, Kombe la Dunia la Mapishi 2014, Sweden
Chef Issa Atwaa Zawadi Kombe la Dunia la Mapishi 2014

EXECUTIVE Chef Issa Kipande anayefahamika kama ‘Chef Issa’ (aliyeshika kombe) wiki hii amefanya makubwa kwa kuwa mmoja wa ma-Chef wa timu ya Stockholm, Sweden, kushiriki na hatimaye…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari