Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 619

Author: jomushi

Taifa Stars Maboresho Kucheza Kirafiki na Rwanda

Posted on: January 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Maboresho, Rwanda, Taifa Stars
Taifa Stars Maboresho Kucheza Kirafiki na Rwanda

KIKOSI cha Taifa Stars Maboresho kitacheza mechi ya kirafiki na timu ya Taifa ya Rwanda itakayofanyika Januari 22 mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba…

Continue Reading....

Tunaweza Kujitosheleza kwa Sukari – Zitto Kabwe

Posted on: January 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Sukari, Zitto Kabwe
Tunaweza Kujitosheleza kwa Sukari – Zitto Kabwe

LEO siku nzima kamati ya PAC ilikuwa inazungumza na Bodi ya Sukari, Wizara ya Kilimo na Wakulima wa Miwa Wilayani Kilombero. Tanzania huzalisha wastani wa…

Continue Reading....

Porojo za Anko Kidevu na Press Card za Maelezo

Posted on: January 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Idara ya Maelezo, Press Card
Porojo za Anko Kidevu na Press Card za Maelezo

WASOMAJI  na wadau wangu nawasalimu na naimani kuwa Mwenyezi Mungu ametujalia tumeuona mwaka mpya wa 2015 salama salmini. Nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu pia na…

Continue Reading....

Mfumuko wa Bei Desemba ni Asilimia 4.8

Posted on: January 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Bei, fumuko wa Bei, Mfumuko, Takwimu
Mfumuko wa Bei Desemba ni Asilimia 4.8

Na Aron Msigwa – MAELEZO. MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Desemba 2014 umepungua hadi kufikia asilimia 4.8 kutoka asilimia 5.8 iliyokuwepo mwezi Novemba…

Continue Reading....

Kituo cha Walemavu cha Buhangija Chaomba Zahanati…!

Posted on: January 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Buhangija, Walemavu, Zahanati
Kituo cha Walemavu cha Buhangija Chaomba Zahanati…!

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga MKUU wa Wilaya ya Shinyanga Anne Rose Nyamubi ameomba jamii ya Watanzania kusaidia kupatikana kwa Zahanati katika Kituo cha kulelea watoto…

Continue Reading....

Mada Maugo na Kalama Nyilawila Kuzipiga Machi 8

Posted on: January 9, 2015 - jomushi
Post Tags: bondia, Kalama Nyilawila, Mada Maugo
Mada Maugo na Kalama Nyilawila Kuzipiga Machi 8

MABONDIA wenye upinzania mkali Mabondia Mada Maugo pamoja na Kalama Nyilawila wanatarajia kupanda jukwaani kuzipiga ili kumaliza ubishi. Pambano hilo linatarajia kufanyika Machi 8, 2015…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari