Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 613

Author: jomushi

Msaidizi Nelson Mandela Alaumiwa kwa Ubaguzi

Posted on: January 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Nelson Mandela, Ubaguzi
Msaidizi Nelson Mandela Alaumiwa kwa Ubaguzi

MIAKA 20 ya kuwa msaidizi wa Nelson Mandela na kuwa mfano mwema maridhiano ya rangi baada ya miaka mingi ya ubaguzi nchini Afrika Kusini imefutwa…

Continue Reading....

Majambazi Wavamia Polisi, Wauwa Askari na Kuiba Silaha

Posted on: January 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Askari Pwani, Majambazi, Polisi
Majambazi Wavamia Polisi, Wauwa Askari na Kuiba Silaha

MAJAMBAZI wasiojulikana idadi yao usiku wa kuamkia leo wamevamia Kituo cha Polisi Ikwiriri Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani na kuwauwa askari polisi wawili pamoja…

Continue Reading....

Kampuni Zilizotoa Huduma kwa Jamii Kutajwa Machi 2015

Posted on: January 21, 2015 - jomushi
Kampuni Zilizotoa Huduma kwa Jamii Kutajwa Machi 2015

Na Dotto Mwaibale   KAMPUNI mbali mbali zinazotoa huduma kwa jamii zinatarajiwa kutambuliwa na kutolewa tathimini ya uwajibikaji wake machi mwaka huu.   Akizungumza Dar…

Continue Reading....

Kenya Yaruhusu Magari ya Watalii Tanzania Kuingia Jomo Kenyatta

Posted on: January 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Jomo Kenyatta, Kenya, tanzania, Watalii
Kenya Yaruhusu Magari ya Watalii Tanzania Kuingia Jomo Kenyatta

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema Serikali ya Kenya imekubali kuyaruhusu magari ya abiria na watalii kutoka Tanzania, kuingia ndani ya Uwanja…

Continue Reading....

Chama cha Majaji Wanawake Chafanya Mkutano Mkuu

Posted on: January 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Majaji Wanawake, mkutano, TAWJA
Chama cha Majaji Wanawake Chafanya Mkutano Mkuu

 Jaji Fredrick Wambali akitoa mada katika mkutano huo.  Wanachama wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), wakiwa kwenye mkutano wao mkuu uliofanyika Dar es Salaam…

Continue Reading....

Mkuranga Watakiwa Kuchangia Damu

Posted on: January 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Damu, Mkuranga
Mkuranga Watakiwa Kuchangia Damu

Na Aron Msigwa – MAELEZO, Mkuranga WANANCHI wilayani Mkuranga wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwenye benki ya damu iliyoko katika hospitali ya wilaya hiyo ili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari