Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 54

Author: jomushi

Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Wakabidhi Vifaa Kwa Shughuli za Kijamii

Posted on: May 10, 2017 - jomushi
Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Wakabidhi Vifaa Kwa Shughuli za Kijamii

Mbunge wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Khalifa Salim Suleiman akizungumza na wananchi wa jimbo lake wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya…

Continue Reading....

HaloPesa, Selcom Kupanua Wigo wa Huduma za Kifedha

Posted on: May 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Halotel
HaloPesa, Selcom Kupanua Wigo wa Huduma za Kifedha

    KATIKA kufanikisha azma ya kupanua wigo wa huduma za kifedha kwa wananchi wenye vipato tofauti, kampuni ya mawasiliano ya Halotel imeendelea kuunganisha huduma…

Continue Reading....

MAPAMBANO DAWA ZA KULEVYA NA UVUVI HARAMU YASHIKA KASI NYAMAGANA

Posted on: May 9, 2017 - jomushi
MAPAMBANO DAWA ZA KULEVYA NA UVUVI HARAMU YASHIKA KASI NYAMAGANA

Mkuu wa polisi wilayani Kamagana akizungumza kwenye kikao hicho. Katibu wa mkuu wa wilaya ya Nyamagana akizungumza kwenye kikao hicho. Afisa uvuvi halmashauri ya Jiji…

Continue Reading....

Emmanuel Macron Rais Mpya Taifa la Ufaransa

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
Post Tags: Paris Ufaransa
Emmanuel Macron Rais Mpya Taifa la Ufaransa

EMMANUEL Macron ameshinda Uchaguzi wa Urais wa Ufaransa. Matokeo yanaonesha Macron amemuacha kwa mbali mpinzani wake Bi Marine Le Pen kwa kujinyakulia asilimia 65 ya…

Continue Reading....

Katibu wa NEC CCM Zanzibar Awataka Wanachama Kutumia Fursa ya Uchaguzi

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
Katibu wa NEC CCM Zanzibar Awataka Wanachama Kutumia Fursa ya Uchaguzi

Na Is-Haka Omar, Zanzibar KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar, Waride Bakari Jabu amewataka wanachama wa CCM Tawi…

Continue Reading....

Msiba Mzito Arusha, Majonzi Yatawala, Maombolezo Kila Kona…!

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
Post Tags: Msiba
Msiba Mzito Arusha, Majonzi Yatawala, Maombolezo Kila Kona…!

    JIJI la Arusha na viunga vyake leo limezizima kwa manjozi wakati miili ya wanafunzi 32, walimu Wawili na Dereva wao mmoja wote kutoka shule…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari