Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 503

Author: jomushi

Taifa Stars Yawasili Borg El Arab Misri

Posted on: June 13, 2015 - jomushi
Post Tags: Taifa Stars
Taifa Stars Yawasili Borg El Arab Misri

MSAFARA wa timu ya Taifa ya Tanzania (taifa Stars) inayodhaminiwa na kampuni ya bia ya Kilimanjaro Premium Lager tayari umewasili salama katika eneo la Borg…

Continue Reading....

Safari Kusaka Wadhamini Urais CCM, Lowassa ni Nooma…!

Posted on: June 13, 2015June 13, 2015 - jomushi
Post Tags: Lowassa, Urais CCM
Safari Kusaka Wadhamini Urais CCM, Lowassa ni Nooma…!

Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye…

Continue Reading....

Membe Anusurika Kifo Ajali ya Ndege Zanzibar

Posted on: June 13, 2015 - jomushi
Post Tags: ajali, Membe, Zanzibar
Membe Anusurika Kifo Ajali ya Ndege Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe , amenusurika kifo baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Iringa…

Continue Reading....

UNDP Yataka TAMISEMI Kuwezesha Zaidi Wananchi

Posted on: June 12, 2015 - jomushi
Post Tags: Tamisemi, UNDP
UNDP Yataka TAMISEMI Kuwezesha Zaidi Wananchi

Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo MRATIBU Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Tanzania…

Continue Reading....

THPS Yakabidhi Msaada wa Vifaa Vituo vya Afya Unguja na Pemba

Posted on: June 12, 2015 - jomushi
Post Tags: afya, Pemba, Unguja
THPS Yakabidhi Msaada wa Vifaa Vituo vya Afya Unguja na Pemba

Mkurugenzi  Mtendaji wa THPS, Dr. Redempta Mbatia, akizungumza kabla ya kukabidhi seti za computer kwa vituo vya afya vinane vya Unguja na Pemba kwa ajili ya…

Continue Reading....

Ziara ya Kinana wa CCM Wilayani Karagwe…!

Posted on: June 12, 2015 - jomushi
Post Tags: Karagwe, UVCCM
Ziara ya Kinana wa CCM Wilayani Karagwe…!

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akishuka kutoka kwenye katapila baada kuliendesha wakati wa kazi ya kusawazisha shamba la kupanda miwa alipotembelea mashamba ya miwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari