Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 5

Author: jomushi

NMB Yawezesha Wakunga Muhimbili Kutoa Huduma za Afya Bure

Posted on: August 4, 2017 - jomushi
Post Tags: afya
NMB Yawezesha Wakunga Muhimbili Kutoa Huduma za Afya Bure

              CHAMA cha Wakunga Tanzania (TAMA) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili chini ya udhamini mkuu wa Benki ya…

Continue Reading....

DK SASABO AHIMIZA MATUMIZI YA TEHEMA DODOMA

Posted on: August 4, 2017 - jomushi
Post Tags: TEHAMA
DK SASABO AHIMIZA MATUMIZI YA TEHEMA DODOMA

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo, amezungumzia umuhimu wa taasisi za umma zilizo chini ya mradi wa…

Continue Reading....

MENGI ATAKA EAC KUTUMIA UTAJIRI KUTENGENEZA MABILIONEA

Posted on: August 4, 2017 - jomushi
Post Tags: EAC
MENGI ATAKA EAC KUTUMIA UTAJIRI KUTENGENEZA MABILIONEA

MWENYEKITI wa Taasisi ya sekta binafsi nchini (TPSF) Dr. Reginald Mengi amezitaka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kushirikiana katika kutumia utajiri wake mkubwa wa…

Continue Reading....

UFUNGASHAJI BIDHAA KUWAINGIZA AKINAMAMA KWENYE SOKO LA USHINDANI

Posted on: August 4, 2017August 4, 2017 - jomushi
UFUNGASHAJI BIDHAA KUWAINGIZA AKINAMAMA KWENYE SOKO LA USHINDANI

  Akinamama wa Green Voices wakiwa katika ofisi  za Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) wakijifunza kutoka kwa Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula, Raymond Wigenge,…

Continue Reading....

RAIS MAGUFULI APOKEWA KWA NDEREMO AKIWA ZIARANI TANGA

Posted on: August 4, 2017 - jomushi
Post Tags: Rais Magufuli
RAIS MAGUFULI APOKEWA KWA NDEREMO AKIWA ZIARANI TANGA

   Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukielekea mkoani Tanga ambako katika ziara yake ya siku tano ataungana…

Continue Reading....

COSTECH YATOA MAFUNZO YA KILIMO CHENYE TIJA KWA WAKULIMA KATIKA MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LINDI

Posted on: August 3, 2017 - jomushi
COSTECH YATOA MAFUNZO YA KILIMO CHENYE TIJA KWA WAKULIMA KATIKA MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LINDI

Wakulima wakiwa kwenye mafunzo hayo. Usikivu katika mafunzo hayo yaliyofanyika Ukumbi wa Mikutano katika Jengo la Halmshauri ya Wilaya ya Kilwa lililopo katika viwanja hivyo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari