Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 47

Author: jomushi

Filamu 132 Kuoneshwa Tamasha la Filamu Nchi za Majahazi, ZIFF 2017

Posted on: May 19, 2017May 19, 2017 - jomushi
Post Tags: Tamasha la ZIFF
Filamu 132 Kuoneshwa Tamasha la Filamu Nchi za Majahazi, ZIFF 2017

  UONGOZI wa waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Filamu za Nchi za Jahazi (ZIFF), mapema leo Mei 19.2017, wametangaza rasmi filamu zilizochaguliwa kwa mwaka…

Continue Reading....

Ndege Vita za China Zaizuia Ndege ya Marekani

Posted on: May 19, 2017 - jomushi
Ndege Vita za China Zaizuia Ndege ya Marekani

  NDEGE mbili za kijeshi za China zimeizuia ‘vibaya’ ndege ya Marekani kulingana na jeshi la Marekani. Ndege hiyo inayohusika na kufanya uchunguzi, ilikuwa katika…

Continue Reading....

Mkutano Mkuu wa Vijana Kimataifa Kufanyika Arusha kwa Siku 7

Posted on: May 19, 2017 - jomushi
Mkutano Mkuu wa Vijana Kimataifa Kufanyika Arusha kwa Siku 7

    AKIZUNGUMZA na waandishi wa habari Mratibu wa Mkutano Mkuu Kivuli wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa, Tajiel Urioh alisema mkutano huo ni maigizo…

Continue Reading....

MUHAS WATAKIWA KUWEKA MAKAZI YA KUDUMU OLOLOSOKWAN

Posted on: May 19, 2017 - jomushi
MUHAS WATAKIWA KUWEKA MAKAZI YA KUDUMU OLOLOSOKWAN

CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimetakiwa kuhakikisha kwamba wanatumia vyema kijiji cha kidigitali cha Ololosokwan katika kuhakikisha kwamba taifa linakuwa na uwezo…

Continue Reading....

Rais Donald Trump Aipa Tanzania Dola Milioni 526

Posted on: May 18, 2017 - jomushi
Rais Donald Trump Aipa Tanzania Dola Milioni 526

SERIKALI ya Marekani kupitia ofisi ya rais Donald Trump imetangaza kupatia Tanzania ufadhili wa kukabilana na virisu vya ukimwi. Marekani, ambayo siku chache zilizopita ilitangaza…

Continue Reading....

Trump Aunga Mkono Mpango wa Nyuklia wa Iran

Posted on: May 18, 2017 - jomushi
Trump Aunga Mkono Mpango wa Nyuklia wa Iran

IKULU ya Whitehouse nchini Marekani imeendeleza mpango wa kuipunguzia vikwazo Iran licha ya rais Donald Trump kuukosa mpango huo. Kuondolewa kwa vikwazo ni miongoni mwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari