Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 447

Author: jomushi

Waziri Mkuu Australia Ampongeza Rais Kikwete Kuachia Madaraka Kikatiba

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Waziri Mkuu Australia
Waziri Mkuu Australia Ampongeza Rais Kikwete Kuachia Madaraka Kikatiba

WAZIRI Mkuu wa Australia, Tony Abbot amempongeza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuamua kukabidhi madaraka kwa kiongozi mwingine kwa mujibu wa Katiba nchini Tanzania. “Nakupongeza…

Continue Reading....

TTCL Waweka Wazi Mafanikio ya Mkongo Mkutano wa Connect 2 Connect

Posted on: July 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Connect 2 Connect, TTCL
TTCL Waweka Wazi Mafanikio ya Mkongo Mkutano wa Connect 2 Connect

Na Mwandishi Wetu, TANZANIA inafanya mazungumzo na mataifa anuai ya Afrika zikiwemo nchini za Angola, Namibia pamoja na Zambia ili kuweza kuunganisha mkongo wa taifa…

Continue Reading....

Edward Lowassa Aibukia CHADEMA,Kugombea Urais UKAWA

Posted on: July 28, 2015July 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Chadema, Edward Lowassa
Edward Lowassa Aibukia CHADEMA,Kugombea Urais UKAWA

ALIYEKUWA Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa na kada mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na…

Continue Reading....

Mbwa Mwitu Waibuka Tena, Wavamia Wakata Mapanga Watu Mchana

Posted on: July 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Dar es salaam, Mbwa Mwitu
Mbwa Mwitu Waibuka Tena, Wavamia Wakata Mapanga Watu Mchana

Na Mwandishi Wetu, KUNDI la vijana waporaji wanaotumia silaa za jadi baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam leo wameibuka tena na kuvamia baadhi ya…

Continue Reading....

UKAWA Wamkaribisha Edward Lowassa Kujiunga, Wapo Tayari Kushirikiana

Posted on: July 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Edward Lowassa, Ukawa
UKAWA Wamkaribisha Edward Lowassa Kujiunga, Wapo Tayari Kushirikiana

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD umemwalika rasmi Mbunge wa…

Continue Reading....

Mbunge Viti Maalumu Chadema Atimkia ACT Wazalendo

Posted on: July 27, 2015 - jomushi
Post Tags: ACT Wazalendo, Chadema
Mbunge Viti Maalumu Chadema Atimkia ACT Wazalendo

 Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya kukabidhiwa.   Mbunge Chiku Abwao (kulia), akizungumza na wanahabari baada ya kukabidhiwa kadi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari