Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 446

Author: jomushi

Rais Obama Awatolea Uvivu Viongozi wa Afrika…!

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Afrika, Rais Obama
Rais Obama Awatolea Uvivu Viongozi wa Afrika…!

RAIS wa Marekani Barrack Obama, amewapasha viongozi wa Afrika ambao wanaendelea kung’ang’ania madarakani hata baada ya Katiba kutowaruhusu kuendelea kuwania tena nyadhifa zao za urais.…

Continue Reading....

Angalia Picha 16 za Taswira ya Kihistoria ya Lowassa Kutangaza Kung’oka CCM…!

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Matukio ya Historia ya Lowassa
Angalia Picha 16 za Taswira ya Kihistoria ya Lowassa Kutangaza Kung’oka CCM…!

Continue Reading....

Lowassa Atoboa Siri ya Richmond, Adai ni Maagizo ya Mamlaka ya Juu

Posted on: July 29, 2015July 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Siri ya Richmond
Lowassa Atoboa Siri ya Richmond, Adai ni Maagizo ya Mamlaka ya Juu

Na Mwandishi Wetu, WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ametua zigo la kashfa ya Richmond iliyosababisha kujiuzulu uwaziri mkuu kwa kueleza jitihada zake alizofanya kabla ya…

Continue Reading....

Madaktari Hospitali ya Wanawake na Watoto Australia Waitamani Tanzania

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Post Tags: hospitali, wanawake, Watoto
Madaktari Hospitali ya Wanawake na Watoto Australia Waitamani Tanzania

Na Mwandishi wetu – Canberra, Australia WAFANYAKAZI wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania…

Continue Reading....

Kagame Cup 2015; Leo ni Azam FC Vs Yanga SC

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Kagame Cup 2015; Leo ni Azam FC Vs Yanga SC

HATUA ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kuendelea leo Jumatano kwa michezo miwili kuchezwa katika…

Continue Reading....

ESAURP Yatoa Mafunzo kwa Wajasiliamali 150 Mkoani Kilimanjaro

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Post Tags: ESAURP, Wajasiliamali
ESAURP Yatoa Mafunzo kwa Wajasiliamali 150 Mkoani Kilimanjaro

Baadhi ya Wawezeshaji katika mafunzo ya Wajasiliamali 150 yanayofanyika katika chuo cha Ufundi Veta mkoa wa Kilimanjaro. Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo. Badhi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari