Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 436

Author: jomushi

NCCR-MAGEUZI Watambulisha Wagombea Vunjo

Posted on: August 10, 2015 - jomushi
NCCR-MAGEUZI Watambulisha Wagombea Vunjo

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi taifa ,Hemed Msabaha akizungumza wakati wa mikutano wa kutamburisha wagombea wa nafasi ya udiwani inayofanyika katika jimbo…

Continue Reading....

Maadhimisho ya 23 Wiki ya Unyonyeshaji Maziwa ya Mama Dodoma

Posted on: August 10, 2015 - jomushi
Maadhimisho ya 23 Wiki ya Unyonyeshaji Maziwa ya Mama Dodoma

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kuhitimisha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa kwenye viwanja vya…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Ayapa Jina Jipya Maonesho ya Nanenane

Posted on: August 9, 2015August 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Maonesho Nanenane
Waziri Mkuu Pinda Ayapa Jina Jipya Maonesho ya Nanenane

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema maonyesho ya siku ya wakulima nchini maarufu kama Nane Nane ni sawa na shamba darasa ambalo washiriki na wananchi wanapata…

Continue Reading....

Niaibu Serikali Kuwakopa Wakulima Kiujanjaujanja – Rais Kikwete

Posted on: August 9, 2015August 23, 2015 - jomushi
Niaibu Serikali Kuwakopa Wakulima Kiujanjaujanja – Rais Kikwete

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka maofisa wa Serikali kuacha kabisa tabia ya kuwakopa wakulima masikini nchini kwa ujanjaujanja kwa kusingizia…

Continue Reading....

Edward Lowassa Ndani ya Kikao cha CUF Makao Makuu Buguruni Dar

Posted on: August 9, 2015 - jomushi
Post Tags: CUF, Lowassa
Edward Lowassa Ndani ya Kikao cha CUF Makao Makuu Buguruni Dar

 Sehemu ya Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa wamejipanga Barabarani tayari kwa kumlaki, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia…

Continue Reading....

JK Azinduwa Kivuko cha Mafanikio na Mradi wa NHC Shangani Mtwara

Posted on: August 9, 2015August 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Kivuko, NHC
JK Azinduwa Kivuko cha Mafanikio na Mradi wa NHC Shangani Mtwara

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu akizungumza jambo na Rais Dk. Jakaya Kikwete mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari