Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 428

Author: jomushi

Fainali Tanzania Movie Talents Kufanyika Agosti 22 Dar

Posted on: August 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Fainali za TMT
Fainali Tanzania Movie Talents Kufanyika Agosti 22 Dar

      Meneja Mradi wa Tanzania Movie Talents (TMT) Saul Mpock akiongea kuhusu jinsi Fainali hiyo itakavyorushwa ,moja kwa moja (live) kupitia Kituo Cha…

Continue Reading....

Kipindupindu Chaibuka Dar, Chauwa Wawili Kinondoni

Posted on: August 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Dar, Kipindupindu
Kipindupindu Chaibuka Dar, Chauwa Wawili Kinondoni

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq ametoa tahadhari kwa wakazi wa jiji hilo kuwa makini kwani ugonjwa wa kipindupindu tayari umevamia…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Aibana SADC, Ataka Ijipange Kimikakati

Posted on: August 18, 2015 - jomushi
Post Tags: SADC
Waziri Mkuu Pinda Aibana SADC, Ataka Ijipange Kimikakati

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) haina budi kuweka mkakati utakaohakikisha kuwa nchi wanachama zinakuwa na mpango mahsusi…

Continue Reading....

Utafiti wa Afya ya Uzazi, Mtoto na Malaria Kuanza Agosti

Posted on: August 18, 2015August 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Utafiti wa Afya
Utafiti wa Afya ya Uzazi, Mtoto na Malaria Kuanza Agosti

Na Veronica Kazimoto, Moshi WITO umetolewa kwa viongozi wote wa Serikali katika Ngazi zote na wananchi kwa ujumla kutoa ushirikiano kwa Wasimamizi, Wahariri na Wadadisi…

Continue Reading....

Taifa Stars Kutimkia Muscat Oman,TFF Yataja Waamuzi

Posted on: August 18, 2015August 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Taifa Stars, TFF
Taifa Stars Kutimkia Muscat Oman,TFF Yataja Waamuzi

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuondoka nchini siku ya jumamosi usiku kuelekea Muscat Oman, kucheza mchezo wa kirafiki kabla ya kuunganisha kuelekea…

Continue Reading....

CCM Waweka Hadharani Kikosi cha Kampeni Uchaguzi Mkuu

Posted on: August 18, 2015August 18, 2015 - jomushi
Post Tags: CCM, Kamati, Kampeni
CCM Waweka Hadharani Kikosi cha Kampeni Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa Agosti 17, 2015 imekutana katika kikao chake cha…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari