Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 416

Author: jomushi

Uzinduzi Kipindi cha Mashariki Max

Posted on: August 30, 2015 - jomushi
Uzinduzi  Kipindi cha Mashariki Max

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO Sekta ya michezo nchini inazidi kuimarika na kuongeza fursa kwa wanamichezo na wapenda michezo nchini kwa kuzileta pamoja nchi za Afrika…

Continue Reading....

Helikopta ya Nyarandu Yanogesha Kampeni za Mgombea Mwenza CCM

Posted on: August 30, 2015August 31, 2015 - jomushi
Helikopta ya Nyarandu Yanogesha Kampeni za Mgombea Mwenza CCM

Na Joachim Mushi, Singida MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu amenogesha kampeni za mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi…

Continue Reading....

BOA Tanzania Yakusanya Zaidi Milioni 210 Kusaidia Watoto Waliozaliwa na Miguu Iliyopinda

Posted on: August 30, 2015 - jomushi
BOA Tanzania Yakusanya Zaidi Milioni 210 Kusaidia Watoto Waliozaliwa na  Miguu Iliyopinda

  Mkurugenzi Mkuu wa Bank of Africa nchini Bw. Ammishadai Owusu-Amoah akimkabidhi Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT mfano wa hundi wenye ya dola za…

Continue Reading....

Tamasha la Kuombea Amani Uchaguzi Mkuu Kufanyika Oktoba 4,2015

Posted on: August 30, 2015August 30, 2015 - jomushi
Tamasha la Kuombea Amani Uchaguzi Mkuu Kufanyika Oktoba 4,2015

 Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha hilo. Kulia ni  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa Tamasha…

Continue Reading....

Bunge la Watoto Manyara Lafanikiwa Kuwarudisha Yatima Shuleni

Posted on: August 30, 2015 - jomushi
Bunge la Watoto Manyara Lafanikiwa Kuwarudisha Yatima Shuleni

  Abdallah Waziri – ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo. Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo…

Continue Reading....

MSD Yazindua Rasmi Taarifa ya Mwaka 2013/2014

Posted on: August 30, 2015 - jomushi
MSD Yazindua Rasmi Taarifa ya Mwaka 2013/2014

     Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa MSD, Johnson Mwakalitolo, akizungumza katika uzinduzi huo.  Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya MSD, Profesa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari