Viongozi wa vyama vya siasa vitano AFP, UMD, CHAHUSTA, JAHAZI ASILIA NA DEMOKRASIA MAKINI kwa pamoja tumeungana kutoa wito kwa wanasiasa wenzetu, viongozi wa dini…
Continue Reading....Author: jomushi
Mafunzo ya Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi Dar es salaam Yafanyika
Mkuu wa mkoa wa Dar es slaam Said Mecki Sadiki amewataka Waratibu wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na viongozi wa vyama vya Siasa katika mkoa…
Continue Reading....North Mara Watumia Bilioni 1.7 Kujenga Shule
Mgodi wa dhahabu wa North Mara uliopo wilayani Tarime umetumia kiasi cha shilingi bilioni 1.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya Sekondari JK Nyerere…
Continue Reading....Wanawake Jitokezeni Kupiga Kura – Mama Salma
Wanawake wilayani Tarime wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu itakapofika na wachague viongozi watakaowaona wanafaa ambao…
Continue Reading....Mgombea Urais CCM, Dk. Magufuli Ahutubia Singida…!
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa…
Continue Reading....Mama Suluhu Hassani Atetemesha Jimbo la Itilima, Simiyu
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa…
Continue Reading....