Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete , Jumamosi, Oktoba 10, 2015 amezindua mtambo mkubwa na miundombinu ya kisasa kabisa ya kuchakata…
Continue Reading....Author: jomushi
Mafuriko ya Lowassa Musoma
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea…
Continue Reading....Zitunzeni Kadi za Kupigia kura Msibadilishe na Chochote
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kuzitunza shahada zao za kupigia kura na kukataa kurubuniwa ili waziuze kwani kadi…
Continue Reading....Lowassa Apewa Hati ya Ushujaa Mkoani Mara…!
Vijana wa Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, alipowasili mjini Tarime…
Continue Reading....Vijana Msikubali Kutumiwa Vibaya na Baadhi ya Wanasiasa
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi 09/10/2015 Vijana wametakiwa kutokubali kutumiwa vibaya na baadhi ya wanasiasa kwa maslahi ya watu wachache huku hao wanaowatumia wanasonga…
Continue Reading....