Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 359

Author: jomushi

JK Ateuwa Mkurugenzi Mkuu TEA

Posted on: October 26, 2015 - jomushi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA). Uteuzi huo…

Continue Reading....

CCM, CHADEMA Wachuana Vikali Matokeo Uchaguzi Mkuu

Posted on: October 26, 2015October 26, 2015 - jomushi
Post Tags: Matokeo Uchaguzi Mkuu

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu nafasi za madiwani, wabunge na urais uliofanyika jana maeneo mbalimbali nchini Tanzania yameanza kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)…

Continue Reading....

Matokeo ya Awali Kama Yalivyo Bandikwa na Wasimamizi Wasaidizi Katika Vituo Anuai Dar

Posted on: October 26, 2015 - jomushi

Matokeo ya Awali Kama Yalivyo Bandikwa na Wasimamizi Wasaidizi Katika Vituo Anuai jijini Dar es Salaam…hata hivyo bado katika vituo vingine wahusika wanaendelea kuhesabu ili…

Continue Reading....

Matukio Mbalimbali ya Upigaji Kura Uchaguzi Mkuu…!

Posted on: October 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Uchaguzi Mkuu

 Rukia Omari (kushoto), akimsaidia kupiga kura jamaa yake Mwanaharusi Mohamed ambaye ni mlemavu wa macho wakati wa kupiga kura katika kituo cha Mbagala Misheni Dar…

Continue Reading....

Dk. Magufuli, Bilal Wapiga Kura, Pinda Azungumzia Uchaguzi Mkuu…

Posted on: October 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Uchaguzi Mkuu Tanzania
Dk. Magufuli, Bilal Wapiga Kura, Pinda Azungumzia Uchaguzi Mkuu…

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.…

Continue Reading....

Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi

Posted on: October 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Upigaji Kura Dar
Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi

Wananchi na wakazi wa Tabata Shule wakiangalia majina yao kabla ya kupiga kura yao. Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari