Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,248

Author: jomushi

JK aofia dawa ya Babu wa Loliondo kutoweka

Posted on: July 7, 2011 - jomushi
JK aofia dawa ya Babu wa Loliondo kutoweka

Na Joachim Mushi RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Idara ya Elimu ya Mimea kuhakikisha mmea aina ya mgarika (sonjo) ambao unatumiwa na Mchungaji mstaafu wa Kanisa…

Continue Reading....

Comprint International Ltd ndani ya maonesho ya Saba Saba

Posted on: July 7, 2011 - jomushi
Comprint International Ltd ndani ya maonesho ya Saba Saba

Gari la wagonjwa aina ya bajaji lililotengenezwa kisasa likiwa na uwezo mkubwa wa kuhimili miundombinu duni ya barabara maeneo ya vijijini, gari linalotengenezwa nchini Tanzania…

Continue Reading....

Banda la SAMSUNG ndani ya maonesho ya Saba Saba

Posted on: July 7, 2011 - jomushi
Banda la SAMSUNG ndani ya maonesho ya Saba Saba

Wananchi wakiwa nje ya banda la SamSung wakiangalia burudani mbalimbali zinazotolewa nje ya banda hilo katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Saba Saba jijini Dar…

Continue Reading....

Picha mbalimbali ndani ya manesho ya Saba Saba

Posted on: July 7, 2011July 7, 2011 - jomushi
Picha mbalimbali ndani ya manesho ya Saba Saba

Wananchi wakiangalia mfano wa viungo mbalimbali vya mwili wa binadamu na kupewa maelezo ya namna vinavyofanya kazi mwilini, ndani ya banda la Moi kwenye maonesho…

Continue Reading....

Hapa ndipo ilipo PPF ndani ya maonesho ya Saba Saba

Posted on: July 7, 2011 - jomushi
Hapa ndipo ilipo PPF ndani ya maonesho ya Saba Saba

Continue Reading....

Huduma katika banda la Zantel

Posted on: July 6, 2011 - jomushi
Huduma katika banda la Zantel

Baadhi ya wateja wakihudumiwa ndani ya banda la kampuni ya Zantel, kujua huduma mbalimbali zinazoendeshwa na kampuni hiyo. Zantel inashiriki katika maonesho ya 35 ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari