Igunga KAMANDA feki wa Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Stanley Kimaro ametiwa mbaroni na maofisa wa TAKUKURU mjini Igunga baada ya jamaa…
Continue Reading....Author: jomushi
Mganga anyofoa sehemu za siri za mteja wake na kutoweka
Na Mwandishi Wetu, Urambo MWANAMKE mmoja (66) mkazi wa Kijiji cha Mwendakulima Wilaya ya Urambo mkoani Tabora amefariki dunia baada ya mganga wa kienyeji kumnyofoa…
Continue Reading....Waziri Sitta amjibu Mbowe
Dodoma WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye pia ni Kaimu Kiongozi wa shughuli za Bunge, Samuel Sitta amesema, hamshangai Kiongozi wa Kambi ya Upinzani…
Continue Reading....PINDA AWAALIKA WAWEKEZAJI WA GESI ASILIA KUTOKA NJE
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema umefika wakati kwa wawekezaji wa kimataifa kuangalia uwezekano wa kuwekeza katika miundombinu ya kusafirisha gesi asilia kama njia mojawapo ya…
Continue Reading....Tigo wamzawadia pikipiki ya mizigo mshindi mwingine
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kushoto) akizungumza na mshindi wa pili wa droo ya pikipiki ya magurudumu matatu kwa njia ya simu alipokuwa akichezesha…
Continue Reading....Ziara ya Waziri Kabaka ndani ya mabanda ya Wizara ya Fedha
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuingia kwenye Banda la Wizara ya fedha kutembelea idara mbalimbali zilizo…
Continue Reading....