Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,234

Author: jomushi

Dk Slaa: Hatma ya madiwani Arusha leo

Posted on: July 21, 2011 - jomushi
Dk Slaa: Hatma ya madiwani Arusha leo

Dk. Willibroad Slaa Na Edson Kamukara SIKU moja baada ya madiwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jijini Arusha kugomea maamuzi ya Kamati Kuu…

Continue Reading....

Jairo asimamisha kazi rasmi, ni juu ya tuhuma zinazomkabili

Posted on: July 21, 2011 - jomushi
Jairo asimamisha kazi rasmi, ni juu ya tuhuma zinazomkabili

David Jairo Dodoma KATIBU Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo amemsimamisha kazi Katibu wa Nishati na Madini, David Jairo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili za kuchangiza…

Continue Reading....

Simba yanga kupambana tena Agosti 13

Posted on: July 21, 2011July 21, 2011 - jomushi
Simba yanga kupambana tena Agosti 13

MAHASIMU wa jadi timu za mpira wa miguu za Simba na Yanga zote za Dar es Salaam, zinatarajia kukutana tena Agosti 13, 2011 mchezo utakaochezwa…

Continue Reading....

Wizara ya Nishati na Madini inaliaibisha Taifa-Wanaharakati

Posted on: July 21, 2011 - jomushi
Wizara ya Nishati na Madini inaliaibisha Taifa-Wanaharakati

Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP MUUNGANO wa Asasi za Kiraia zinazotetea Usawa wa jinsia, haki za binadamu, maendeleo na ukombozi wa wanawake kimapinduzi (FemAct), umepokea kwa…

Continue Reading....

Serikali yangu haitaweka lami Serengeti- Kikwete

Posted on: July 21, 2011 - jomushi
Serikali yangu haitaweka lami Serengeti- Kikwete

Rais Jakaya Kikwete Pretoria, Afrika Kusini RAIS wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema Serikali yake haikusudii kujenga barabara ya lami kukatisha mbuga maarufu duniani ya…

Continue Reading....

Rais Kikwete ashawishi wawekezaji wa zabibu kuja Tanzania

Posted on: July 21, 2011 - jomushi
Rais Kikwete ashawishi wawekezaji wa zabibu kuja Tanzania

Zao la zabibu Pretoria, Afrika Kusini RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Julai 20, 2011, alitumia siku ya pili ya ziara yake…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari