Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,221

Author: jomushi

Wanakijiji Tanangozi waneemeka na mradi wa MUVI

Posted on: August 2, 2011 - jomushi
Wanakijiji Tanangozi waneemeka na mradi wa MUVI

Mmoja wa wakulima wa nyanya Kijiji cha Tanangozi, Iringa. Na William Macha, Tanangozi, Iringa WAKULIMA wa nyanya kutoka Kijiji cha Tanangozi, Wilaya ya Iringa Vijini,…

Continue Reading....

Wafanyabiashara wa vitunguu Mbulu wawalama kupanda kwa ushuru

Posted on: August 1, 2011 - jomushi
Wafanyabiashara wa vitunguu Mbulu wawalama kupanda kwa ushuru

Wafanyabiashara wa vitunguu saumu eneo la Kariakoo Na Mwandishi Wetu WAFANYABIASHARA wasambazaji wa vitunguu saumu jijini Dar es Salaam wameulalamikia utaratibu mpya wa tozo za…

Continue Reading....

CCM sasa ‘yaingilia’ utendaji wa EWURA

Posted on: August 1, 2011 - jomushi
CCM sasa ‘yaingilia’ utendaji wa EWURA

Na Joachim Mushi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezipinga sababu zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA), za kupandisha kodi…

Continue Reading....

CCM yaridhia kuondoka madarakani kwa Rostam, yataka wengine wafuate nyayo

Posted on: August 1, 2011August 1, 2011 - jomushi
CCM yaridhia kuondoka madarakani kwa Rostam, yataka wengine wafuate nyayo

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Willson Mkama,akisoma utaratibu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika hivi karibuni Dodoma,(wa pili kulia) Mwenyekiti wa…

Continue Reading....

Valencia asaini mkataba mpya Man United

Posted on: August 1, 2011 - jomushi
Valencia asaini mkataba mpya Man United

MCHEZAJI wa pembeni wa Manchester United, Antonio Valencia amesaini mkataba mpya wa miaka minne ambao utamuweka Old Trafford hadi msimu wa mwaka 2015. Valencia mwenye…

Continue Reading....

‘Maiti’ aamka mochwari Afrika Kusini

Posted on: August 1, 2011August 1, 2011 - jomushi
‘Maiti’ aamka mochwari Afrika Kusini

Afrika Kusini, RAIA mmoja wa Afrika Kusini ameamka na kujikuta yupo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti mwishoni hivi karibuni, na kuanza kupiga kelele akitaka wahudumu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari