Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,497

Author: jomushi

Mama Tunu Pinda Awataka Watanzania Kumshukuru Mungu

Posted on: December 25, 2012December 25, 2012 - jomushi
Mama Tunu Pinda Awataka Watanzania Kumshukuru Mungu

MKE wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda amesema kila mtu hana budi kumshukuru Mungu kwa kumfikisha salama wakati wa sikukuu ya Noeli kwani kuna wengine…

Continue Reading....

Cheka Chimwene nusura wazichape Kavukavu

Posted on: December 25, 2012December 25, 2012 - jomushi
Cheka Chimwene nusura wazichape Kavukavu

MAFAHALI mawili wanaotegemea kuzichapa tarehe 25, 2012 kugombea mkanda wa IBF katika bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati Mtanzania Francis Cheka…

Continue Reading....

Lowassa Ashiriki Ibada ya Sikukuu ya Krismas Visiwani Zanzibar

Posted on: December 25, 2012 - jomushi

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa salaam za Xmas kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Mwanakwerekwe Zanzibar mara baada ya…

Continue Reading....

Vijana Watakiwa Kushiriki katika Ulinzi shirikishi – Dk. Mukangara

Posted on: December 25, 2012December 25, 2012 - jomushi
Vijana Watakiwa Kushiriki katika Ulinzi shirikishi – Dk. Mukangara

VIJANA wametakiwa kushiriki katika suala la ulinzi na usalama wa maeneo wanayoishi kwa kujiunga na vikundi vya ulinzi shirikishi ili kulinda na kusimamia rasilimali za…

Continue Reading....

Mandela Kusalia Hospitalini Krismasi

Posted on: December 25, 2012December 25, 2012 - jomushi
Mandela Kusalia Hospitalini Krismasi

Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Nelson Mandela atasalia hospitalini msimu huu wa Krismasi. Bwana Mandela ambaye ni rais mweusi…

Continue Reading....

Khadija Kopa kutoa burudani Krismas Kivule

Posted on: December 25, 2012December 25, 2012 - jomushi
Khadija Kopa kutoa burudani Krismas Kivule

MALKIA wa Mipasho nchini, Khadija Kopa na kundi lake cha Tanzania One Theatre (TOT)leo kitatoa shoo kabambe kusherekea sikukuu ya Krismas kwa wakazi wa Kata…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari