Author: jomushi
Dkt Bilal Azulu Kaburi la hayati Idris Abdulwakil
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kulia) akiwa mbele ya Kaburi la Rais wa zamani wa Zanzibar…
Continue Reading....Dkt Bilal Afungua Kituo cha Polisi Kibonje ZNZ
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilala na Kamishina wa Polisi wa Zanzibar, Mussa Ali Mussa, wakifunua kwa pamoja…
Continue Reading....Waziri Mkuu Awataka Wazazi na Walezi kuwapeleka Watoto kwenye Chanjo
*Ahimiza matumizi ya vyandarua kujikinga na malaria WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewataka Watanzania wote kushiriki chanjo ya kuzuia kichomi na kuhara kwa watoto pindi itakapoanza…
Continue Reading....Wakristo Duniani kote Wanaadhimisha Sikukuu ya Krismasi.
MAELFU ya watu wamekusanyika katika mji wa Bethlehem kwenye Mamlaka ya Wapalestina kusheherekea sikukuu hiyo. Mji huo unaaminika kuwa ndiko pahala alikozaliwa masiha bwana yesu…
Continue Reading....Cheka Awaahidi Watanzania Ushindi wa Kishindo
BONDIA Mtanzania Francis Cheka kutoka katika jiji lisilo na bahari la Morogoro amewaahidi watanzania ushindi wa kishindo katika mpambano wake na bondia kutoka Malawi Chimwemwe…
Continue Reading....