Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Makinda akimkabidhi zawadi Girl Guides kutoka Uganda, Rachel Baganyire wakati wa…
Continue Reading....Author: jomushi
Tigo Yakabidhi Darasa Shule ya Msingi Hachwi Wilayani Kondoa
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Sezaria Makutta akikata utepe kuashiria kupokea darasa lenye thamani ya shilingi milioni 8.5 lililojengwa na kampuni ya Tigo kwa shule ya…
Continue Reading....‘Happy Birthday’ Mwanalibeneke Krantz Mwantepele

Tarehe 19 July Mwanalibeneke la blogu Krantz Mwantepele ambaye ni Mkurungezi Mtendaji wa KONCEPT , Mkurungezi Mtendaji wa ROGECH ANIMATIONS & VFX na pia Katibu…
Continue Reading....RC SHINYANGA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA MKOA WA SHINYANGA
Alhamis Julai 20,2017 Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack amekutana na wawekezaji na wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kufahamiana…
Continue Reading....TANZANIA YA UCHUMI WA VIWANDA ITAFANIKIWA KWA KILIMO CHA KITAFITI
Mkuu wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Geofrey Ngupula akizungumza na maofisa ugani na waandishi wa habari ofisini kwake. Kaimu Mkurugenzi wa wilaya…
Continue Reading....UVCCM Yaonya, Waliohamia Upinzani Waache Kugombanisha Wastaafu
Na Mwandishi Wetu, Kigoma UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umewakanya wanasiasa waliohamia upinzani toka CCM wanaoeneza maneno ya chuki na mifarakano kwa lengo…
Continue Reading....