Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,394

Author: jomushi

Msafara wa Kinana Kuelekea China Watua Ethiopia

Posted on: March 11, 2013 - jomushi
Msafara wa Kinana Kuelekea China Watua Ethiopia

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa CCM, Edward Mpogolo (kushoto) na Ofisa anayeshughulikia Siasa za Kimataifa, Makao Makuu ya CCM, Amos Siantemi wakiratibu taratibu za safari…

Continue Reading....

Taarifa ya TEF Juu ya Hali ya Absalom Kibanda

Posted on: March 10, 2013 - jomushi
Taarifa ya TEF Juu ya Hali ya Absalom Kibanda

1. Kibanda leo (jana) ameingizwa theater ili kuanza kufanyiwa upasuaji na kujengwa sura baada ya kupungua kwa majeraha na uvimbe vilivyokuwa katika sehemu mbalimbali za…

Continue Reading....

Rais Kikwete Amtembelea Mzee Yusuf Mzimba Muhimbili

Posted on: March 10, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Amtembelea Mzee Yusuf Mzimba Muhimbili

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, leo Jumapili Machi 10, 2013 amemtembelea Mzee Yusuf Mzimba, mmoja wa wazee wa Klabu ya…

Continue Reading....

Mechi ya Yanga na Toto Yaingiza 42,508,000/-

Posted on: March 10, 2013 - jomushi
Mechi ya Yanga na Toto Yaingiza 42,508,000/-

WATAZAMAJI 7,412 wameshuhudia pambano la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Toto Africans lililochezwa jana (Machi 9 mwaka huu) Uwanja wa Taifa,…

Continue Reading....

Wafanyakazi African Barrick Gold Wawasaidia Wagonjwa wa Saratani Dar es Salaam

Posted on: March 10, 2013 - jomushi
Wafanyakazi African Barrick Gold Wawasaidia Wagonjwa wa Saratani Dar es Salaam

Continue Reading....

Katibu Mkuu CCM Aenda China kwa Mwaliko wa CPC

Posted on: March 10, 2013 - jomushi
Katibu Mkuu CCM Aenda China kwa Mwaliko wa CPC

Na Bashir Nkoromo KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana anaondoka nchini leo Machi 10, 2013, kwenda Jamhuri wa Watu wa China kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari