NDUGU zangu wapendwa nawasalimu katika jina la alie juu yeye atupae uzima. Naomba niwajulishe Watazania wote waishio UK kuwa ndugu yetu Josephat Torner alieshiriki katika…
Continue Reading....Author: jomushi
Mke Amuuwa Mumewe kwa Kisu kwa Wivu wa Mapenzi
Thehabari.com, Moshi MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Happyness Mrema (28) amemchoma kisu mumewe Audiphas Mrema (30) na kumuuwa kutokana na ugomvi wa wivu wa…
Continue Reading....Rais Kikwete Ashiriki Msiba wa Yanga
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Machi 11, 2013, amejiunga na mamia ya waombolezaji kumzika aliyekuwa mchezaji hodari wa…
Continue Reading....FIFA Yaitega Serikali Tanzania, Yatishia Kuifungia TFF
SHIRIKISHO la Kimataifa la Vyama vya Mpira wa Miguu (FIFA) limesema litaifungia Tanzania iwapo itabainika kuwa Serikali imekuwa ikiingilia shughuli za Shirikisho la Mpira wa…
Continue Reading....Katibu Kinana Aanza Kazi Iliyompeleka China
Na Bashir Nkoromo, China KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewasili leo Machi 11, 2013 nchini China kuanza ziara ya kikazi ya siku kumi, kwa…
Continue Reading....Manyara Yashinda Tuzo ya Vipaji Miss Utalii 2013
HATIMAYE Mshiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 kupitia Mkoa wa Manyara ameshinda tuzo ya vipaji 2012/13 na kuibwaga mikoa mingine 29 ya Tanzania Bara na…
Continue Reading....