NA BASHIR NKOROMO, DOGGUAN, CHINA WATANZANIA wanaoshi nchini China wametakiwa kushikamana na kuitangaza Tanzania kwa kuonyesha tabia njema . Akizungumza na Wanajumuia ya Watanzania wanaoishi…
Continue Reading....Author: jomushi
China Yaitabiria Tanzania Kupiga hatua Kiuchumi
NA BASHIR NKOROMO, DONGGUAN,CHINA CHAMA Cha Kikomunisti cha China (CPC) kimeeleza matumaini yake kwamba upo uwezekano wa Tanzania kupiga hatua kubwa kichumi kama inajikita kwa…
Continue Reading....Mama Kikwete akipongeza kituo cha Utamaduni cha Bujora
Na Anna Nkinda – aliyekuwa Magu Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amekipongeza kituo cha utamaduni cha Bujora kwa kutunza na kuhifadhi utamaduni wa mtanzania…
Continue Reading....Kim Awaita 23 Kuikabili Morocco
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametaja wachezaji 23 watakaoingia kambini Jumamosi (Machi 16 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi…
Continue Reading....Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Akutana na Kamati ya Maandili ya Miss Utalii
Kamati ya Maandalizi ya Miss Utalii Tanzania ikiongozwa na Rais wa Mashindano hayo Ndugu Erasto G. Chipungahelo Tarehe 12.03.2013 katika ofisi yake iliyopo Kinondoni Manispaa…
Continue Reading....Dk Shein Atembelea Miradi ya Maendeleo Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itahakikisha inapeleka huduma muhimu kwa…
Continue Reading....