Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,390

Author: jomushi

Zijue Sifa za Papa Mpya Kanisa Katoliki

Posted on: March 14, 2013 - jomushi
Zijue Sifa za Papa Mpya Kanisa Katoliki

JORGE Mario Bergoglio kutoka Argentina ndiye Baba Mtakatifu mpya atakayeliongoza kanisa katoliki baada ya kujulishwa hapo jana usiku kwa ulimwengu. Kuanzia sasa anafahamika kama Baba…

Continue Reading....

Ujumbe wa CCM Waendelea na Ziara Yake China

Posted on: March 13, 2013March 13, 2013 - jomushi
Ujumbe wa CCM Waendelea na Ziara Yake China

Continue Reading....

Washiriki Miss Utalii 2012/13 Watembelea Chuo Kikuu cha Uandishi

Posted on: March 13, 2013 - jomushi
Washiriki Miss Utalii 2012/13 Watembelea Chuo Kikuu cha Uandishi

WASHIRIKI wa Shindano la Miss Utalii 2012/13 wametakiwa kutumia elimu zao kutangaza utalii wa Tanzania jambo ambalo litakuwa na manufaa kwao na Taifa kwa jumla.…

Continue Reading....

Kanisa Katoliki Lapata Papa Mpya, Ni Muagentina

Posted on: March 13, 2013March 14, 2013 - jomushi
Kanisa Katoliki Lapata Papa Mpya, Ni Muagentina

RAIA wa Agentina, Cadinali Jorge Mario Bergoglio (76) amechaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa katoliki Duniani. Papa Mario Bergoglio ametangazwa usiku huu baada ya kumalizika…

Continue Reading....

TGNP Yashinda Kesi ya Jengo Mahakama Kuu

Posted on: March 13, 2013 - jomushi
TGNP Yashinda Kesi ya Jengo Mahakama Kuu

MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), walinunua jengo la ofisi hii kutoka kwa Mfilisi wa iliyokuwa Tanzania Sewing Thread Manufacturers Limited (TSTML) yaani Benki ya Rasilimali…

Continue Reading....

CCM Yawaalika Wawekezaji wa China Kuja Tanzania

Posted on: March 13, 2013 - jomushi
CCM Yawaalika Wawekezaji wa China Kuja Tanzania

Na Bashir Nkoromo, China KATIBU Mkuu wa Chama CHa Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekiomba Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) kuhimiza wananchi wa China kuchangamkia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari