Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • admin
  • Page 7

Author: admin

JK afichua kipigo cha Lipumba

Posted on: February 4, 2015 - admin
JK afichua kipigo cha Lipumba

SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kupigwa na polisi, Rais Jakaya Kikwete amesema tukio hilo…

Continue Reading....

Huwezi Kuamini Macho Yako Ukiona hizi picha..

Posted on: January 16, 2015 - admin
Huwezi Kuamini Macho Yako Ukiona hizi picha..

Hii dunia, huko tunakoelekea sijui itakuwaje. Huwezi amini ukiangalia hizi picha, hawa ni wanaume waliojigeuza kuwa wanawake na wanawake waliojigeuza kuwa wanaume. Picha hizi zimepigwa…

Continue Reading....

Vituko Duniani, Kuna Mpaka Smart Belt

Posted on: January 16, 2015 - admin
Vituko Duniani, Kuna Mpaka Smart Belt

Katika pitapita zangu mjini hasa mida ya lunch nimeshuhudia akina baba wakisogeza fundo la mkanda baada ya lunch. Na sio wakati wa kula tu, hata…

Continue Reading....

Mambo Nane Yatakayokuongezea Furaha

Posted on: January 14, 2015January 15, 2015 - admin
Post Tags: Chuo cha Maisha, Furaha
Mambo Nane Yatakayokuongezea Furaha

1) Toa shukrani. Kila siku ukiamka asubuhi Mshukuru Mungu kwa kukuwezesha kuamka salama na mwenye afya. Kitendo cha kushukuru kitakufanya ujione una jambo la kushukuru…

Continue Reading....

Wireless Speakers na 3G Mobile WiFi Hotspot kutoka Marekani Kwa Bei Poa

Posted on: December 17, 2014December 17, 2014 - admin
Post Tags: Enter your zip code here
Wireless Speakers na 3G Mobile WiFi Hotspot kutoka Marekani Kwa Bei Poa

Wahi na ujipatie bluetooth wireless speakers pamoja na 3G Mobile WiFi Hotspot kutoka Marekani kwa bei poa. Soma zaidi kupata habari zaidi kuhusu hivi vifaa…

Continue Reading....

Zijue Tabia 7 za Wanawake wanao-Cheat

Posted on: December 10, 2014December 10, 2014 - admin
Zijue Tabia 7 za Wanawake wanao-Cheat

Kama mke wako, demu wako au side chick wako ana tabia zifuatazo, amesha-cheat kwako au ipo siku ataku-cheat. 1) Ana boreka haraka – Wanawake wanaoboreka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari