MBUNGE kijana kutoka Jimbo la Mbeya kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’ amepigwa marufuku na Jeshi la Polisi…
Continue Reading....Author: admin
WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA KOREA KUSINI.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini, Bw. Kim Jae-Shin na Balozi wa Korea ya Kusini Nchini,…
Continue Reading....STAMICO yasaini makubaliano ya awali na Shirika la Madini la KORES kwa ajili kuimarisha sekta ya madini.

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini makubaliano ya awali (MoU) na Shirika la Madini la Korea (KORES)kwa ajili ya shughuli za utafiti, uchimbaji na…
Continue Reading....Black Friday

Ijumaa Nyeusi (Black Friday) ni siku ambayo vitu vinauzwa kwa bei ya chini sana, Maduka huwa yanafunguliwa kuanzia saa 10 usiku . Angalia jinsi watu…
Continue Reading....JK afanya kikao cha kwanza na Baraza lake jipya la Mawaziri leo Ikulu jijini Dar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana kwa mara ya kwanza na baraza lake jipya la mawaziri ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro)
Continue Reading....