
Mwenyekiti wa Chama Cha Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii ‘Tanzania Bloggers Network (TBN) Joachim Mushi (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano Nchini, Dk. Hassan Abbas kwenye Mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa Bloggers Tanzania uliofanyika Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Viongozi walioshiriki kwenye Mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa Bloggers Tanzania uliofanyika Jijini Dar es Salaam juu ya waandishi wa mitandaoni


Mwenyekiti wa Chama Cha Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii ‘Tanzania Bloggers Network (TBN) Joachim Mushi (kushoto) akizungumza na waandishi wa mitandao (hawapo pichani) kwenye Mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa Tanzania Bloggers uliofanyika Jijini Dar es Salaam

Mwakilishi Kutoka banki ya NMB, Stephen Adil ambaye ni kaimu Meneja wa Banki ya NMB Huduma na Amana akizungumza na waandishi wa mitandao (hawapo pichani) kwenye Mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa Tanzania Bloggers uliofanyika Jijini Dar es Salaam


Baadhi ya Waandishi wa habari za mtandao walioshiriki kwenye Mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa Tanzania Bloggers (TBN) na mafunzo uliofanyika Jijini Dar es Salaam juu ya waandishi wa mitandaoni

Asante sana kwa taarifa hii…