KaimuMkurugenziwaHalmashauriyaWilayayaNchembaMkoani Dodoma Bw. Boniface Mandia kiongea na Timu ya Maafisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kabla ya kufungua Mafunzo ya Vijana wa Wilaya hiyo kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, kulia ni Afisa Vijana Bi Amina Sanga.AfisawaIdarayaMaendeleoyaVijanakutokaWizarayaHabari,Vijana, UtamaduninaMichezo Bi. AminaSangaakimkabidhiKaimuMkurugenziwaHalmashauriyaWilayayaNchembaMkoani Dodoma Sera yaTaifayaMaendeleoyaVijananakitabu cha MwongozoSanifuwaMafunzoyaVijanaWalionjeyaShuleKaimuMkurugenziwaHalmashauriyaWilayayaNchembaMkoani Dodoma Bw. Boniface MandiakifunguaMafunzoyaVikundivyaVijanawaHalmashauriyaWilayayaNchembakuhusuMikopokupitiaMfukowaMaendeleoyaVijana.MafunzohayoyanatolewanakuratibiwanaWizarayaHabari, Vijana, UtamaduninaMichezoVijanawaWilayayaNchembaMkoani Dodoma wakimsilizamwezeshaji(hayupopichani) Bi. AminaSangakatikaMafunzoyaVijanawaHalmashauriyaWilayahiyokuhusuMikopokupitiaMfukowaMaendeleoyaVijana