Kheri ya Mfungo wa Ramadhani wadau wote! Posted on: August 3, 2011August 3, 2011 - Rungwe Jr. WAISLAM nchini Tanzania tarari wameungana na wenzao duniani kote kuanza mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhani. Uongozi na wafanyakazi wa dev.kisakuzi.com unawatakia Ramadhani njema!