Matokeo Ligi Kuu Tanzania Bara (11/11/2012), Yanga Yaendelea Kutesa Posted on: November 11, 2012November 11, 2012 - jomushi Nembo ya Timu ya Yanga TIMU ya Yanga ya Dar es Salaam leo imefanikiwa kuichapa timu ya Coastal Union ya Tanga mabao 2-0.