Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za CCM Jimbo la Arumeru Mashariki leo kwenye viwanja vya Kikatiti, wilayani Arumeru. Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki wa Tiketi ya CCM, Sioi Sumari akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Mirisho Sarakikya. Maandamano ya waendesha Pikipiki katika Jimbo hilo.
Mkapa akihutubia na kumnadi Sioi eneo la Patandi mkutano wa kampeni CCM.Umati ukimsikiliza Mkapa PatandiMorani wa Kimasai katika burudani mkutanoniLowasa akisalimiana na Wabunge wengine leo
Lowassa akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama BOFYA link hii hapo chini kuona na kusikiliza hotuba ya Lowassa;-