Watoto wa Kike wa Shule ya Msingi Kisaki wakielekea shuleni, bahati mbaya viatu hakuna miguuni kutokana na hali ya umasikini kwenye familia zao. Naona hapa…
Continue Reading....Year: 2013
Matukio Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Viwanja vya Samora, Iringa
Rais Jakaya Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013 Bw.Juma Ali Simai leo katika uwanja wa…
Continue Reading....Ajinyonga Mtini na Maiti Kukutwa Ikining’inia
Mtu ambaye jina lake halikufahamika mara moja ukining’inia juu ya mti mara baada ya kujinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro. Chanzo cha mtu huyu kujinyonga hakijafahamika…
Continue Reading....Taarifa ya Leo Kutoka Kitengo cha Habari TFF
KAMATI ya Rufani ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana jana (Oktoba 13 mwaka huu) kusikiliza maombi ya mapitio (revision) na…
Continue Reading....Sense Fundi Aongoza Semina Walimu Ngazi za Juu wa Karate USA
SENSEI Rumadha Fundi Mtanzania mtaalamu wa mchezo wa karate mwenye mkanda mweusi na dan 3, Oktoba 12 na 13, 2013 aliongoza semina ya mazoezi ya semina…
Continue Reading....Mwalimu Nyerere Ataendelea Kuwa Baba wa Taifa Milele…!
LEO ni kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julias Kambarage Nyerere. Kila ifikapo Oktoba 14 kila mwaka Tanzania inaadhimisha kumbukumbu ya kifo cha…
Continue Reading....